Ijumaa, 16 Februari 2018

4: JE UNAHITAJI KUNUNUA VITABU VYA KILIMO VYA MAZAO MBALIMBALI-KARIBU


Karibuni sana mjipatie Vitabu (Hard Copies) na Softcopies (PDF) za mazao mbalimbali ya kilimo

Kwa sasa Vipo Vitabu na  PDF  (Maandishi) za mazao 10 kama ifuatavyo
1. Kilimo cha Nyanya
2. Kilimo cha Hoho
3. Kilimo cha Tikiti
4.Kilimo cha Kitunguu
5.Kilimo cha Tango
6.Kilimo cha Karoti
7.Kilimo cha Bamia
8.Kilimo cha Pilipili kali
9.kilimo cha Kabichi
10.Parachichi

Karibuni kwa watu wote manaopenda kupata vitabu (Hard Copies) hivi (Vime printiwa kwa rangi), Vitabu vinatumwa kwako kwa njia mbalimbali ikiwemo mabasi au Posta

Bei ya Kitabu (Hard Copy) kimoja ni Tsh 15,000. Bei hiyo inajumuisha na gharama ya Usafiri.

Tunawakaribisha sana wale wanaopenda kuwa mawakala wetu wa kuviuza vitabu hivyo mikoani. Unaweza kuwa una duka la pembejeo za kilimo au stationary, au ni mtu binafsi unayependa kuuza vitabu vyetu, karibu tuwasiliane.

Karibu tuwasiliane, Namba ya mawasiliano na  Malipo ni 0744302645 (M-PESA), E-mail kilimomaarifa.tajiri@gmail.com au tulime.pamojatz@gmail.com
Website yetuwww.tcp-company.org
Forum yetu ya kilimoTulime Pamoja Forum - Index/

PIA KWA WALE WANAOPENDA KUNUNUA SOFT COPIES (PDF ZA KUTUMWA KWA E-MAIL AU WhatsApp) pia zipo
i. Soft Copy (PDF) ya zao Moja, Bei yake ni Tsh 15,000, Ukinunua PDF za mazao MATATU (3)  na zaidi Bei inapungua kila PDF mmoja itakuwa Tsh 10,000.


YALIYOMO:

VITABU/ PDF zote zimeeleza kwa kina mambo yafuatayo

i. Hali ya hewa (Joto, mvua, Muinuko toka usawa wa bahari, Aina ya udongo unaofaa kwa kilimo cha zao) inayofaa kustawisha zao husika
ii. Aina mbalimbali za mbegu za zao husika, pamoja na gharama zake
iii. Kiasi cha Mbegu kinachotosha kwa eka 1
iv. Gharama zote (Kuandaa shamba, kitalu, kulima, kupanda, mbegu, madawa, mbolea, vibarua, kuvuna na kuuza) zimelezwa kwa kina
v. Uandaaji wa kitalu (Kutengeneza matuta, namna ya kutibu udongo wa kitalu kabla ya kusia mbegu, madawa ya kutumia kitaluni kutibu minyoo/wadudu n.k)
vi.Namna ya kuziandaa mbegu kabla ya kuzisia kitaluni ili zisishambuliwe kabla ya kuota
vii.Kazi za kufanya kitaluni, tangu siku uliyosia mbegu hadi siku unazihamisha shambani
viii.
viii. Namna ya kuhamisha miche kwenda shambani (Uandaaji wa shamba, nafasi, uwekaji mbolea n.k)
ix. Kazi za kufanya shambani tangu siku ya kwanza ulipohamisha miche shambani, hadi siku ya kuvuna (Nama ya kudhibiti wadudu, magonjwa, namna ya kupiga dawa (Aina za dawa za Wadudu +Magonjwa na vipimo vyake), kuweka mbolea (Aina za mbolea+Vipimo)
x. Namna yakudhibiti magonjwa na wadudu kupitia Picha (Picha ya mdudu/Ugonjwa, madhara yake kwa mmea, Udhibiti wake (Aina ya dawa za kutumia na vipimo vyake)
xi.Ushauri wa msimu mzuri wa kuzalisha zao husika
xii. Hesabu za mapato na matumizi

KARIBUNI SANA .
simu: 0744302645, E-mail, kilimomaarifa.tajiri@gmail.com Tufuatilie pia katika website yetu www.tcp-company.org na katika forum yetu ya kilimo Tulime Pamoja Forum - Index 

WOTE MNAKARIBISHWA

Hakuna maoni:

7. KILIMO CHA TIKITI MAJI (WATER MELON)-UTANGULIZI

KARIBU SANA, KAMA UNAPENDA UJIPATIE KITABU (HARD COPY) CHAKO CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI, KARIBU SANA BEI YAKE NI TSH 15,000 Hii hapa chini...