Ijumaa, 16 Februari 2018

5: HUDUMA ZITOLEWAZO NA WATAALAMU WA KILIMO MAARIFA. TAJIRI

 Tunatoa huduma zifuatazo kwa gharama nafuu sana


1. Mafunzo/Ushauri kwa wakulima kuhusu kilimo cha mazao mbalimbali. Mafunzo haya yanafanyika kwa vikundi, au Ushirika, au Taasisi mabalimbali (Za serikali au Binafsi). Gharama za kazi hii ni maelewano kutegemea na idadi ya siku za mafunzo na umbali mteja alipo kutoka mtaalamu alipo pia


2. Kuwawezesha wakulima, au makampuni au Estate (Mashamba makubwa) kufanya Certification za mazao mbalimbali. Tunauzoefu wa kuandaa wakulima pamoja na documentation za  kuwezesha upatikanaji wa vyeti vya ubora vya kimataifa kama vifuatavyo, UTZ, ORGANIC, FAIR-TRADE, RFA, C.A.F.E PRACTICES, 4C na GLOBAL GAP. FAIDA YA KUPATA VYETI HIVI VYA UBORA VYA KIMATAIFA, VITAKUSAIDIA KATIKA KUEXPORT NJE MAZAO YAKO, PAMOJA NA KUPATA MASOKO YA UHAKIKA, IKIWEMO NA KUPATA PREMIUM (UANAGENZI/ZIDIO LA BEI).



3. Kuandaa maelezo ya kina ya namna bora ya kuzalisha mazao mbalimbali, Kila PDF moja inauzwa Tsh 15,000. Ukinunua PDF tatu (3) Bei yake kila kimoja itakuwa Tsh 10,000. PDF zitatumwa kwako kwa njia ya WhatsApp au E-mail yako. 

Pia tuna vitabu (Hard Copies) ambavyo vinauzwa kila kimoja Tsh 15,000. Vitabu hivi vitatumwa kwako kwa njia ya Basi au PostaUkinunua PDF mbili au zaidi, Kila moja utauziwa kwa tsh 10,000

4. Tuna huduma ya Farmer Call Center
-Huduma hii hutumiwa na  mkulima yeyote mwenye shida ya kilimo/shambani kwake, mfano, amekuta shida ya wadudu, au magonjwa, au anahitaji dawa za kuthibiti shida mbalimbali shambani  au namna ya kulima zao fulani. 

-Basi utapiga simu kuja namba 0744302645 kueleza shida yako. Kisha kama ni tatizo linalotatulika basi mtaalamu wetu atakutumia ujumbe wa kukueleza kama shida yako inawezekana au lah. Ikiwa shida yako inawezekana kutatulika utalipia tsh 5000 kwa Mpesa, Tigo pesa, au Airtel Money. Kisha baada ya malipo utapiga simu tena kuja hiyo namba 0744302645, na utapewa maelekezo nini cha kufanya.

5. Tunaandika Proposal za miradi mbalimbali

6. Tunafanya research/Tafiti mbalimbali za kilimo

Kwa mawasiliano zaidi, karibu; Piga Simu namba 0744302645, E-mail:kilimomaarifa.tajiri@gmail.com

Hakuna maoni:

7. KILIMO CHA TIKITI MAJI (WATER MELON)-UTANGULIZI

KARIBU SANA, KAMA UNAPENDA UJIPATIE KITABU (HARD COPY) CHAKO CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI, KARIBU SANA BEI YAKE NI TSH 15,000 Hii hapa chini...