Jumatano, 28 Februari 2018

7. KILIMO CHA TIKITI MAJI (WATER MELON)-UTANGULIZI

KARIBU SANA, KAMA UNAPENDA UJIPATIE KITABU (HARD COPY) CHAKO CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI, KARIBU SANA BEI YAKE NI TSH 15,000

Hii hapa chini ni kurasa ya kwanza kati ya kurasa 24 za PDF-ya kilimo cha Tikiti maji

KWA MAELEZO ZAIDI KARIBU UJIPATIE NAKALA YAKO ILIYOKAMILI (KURASA 24) JUU YA KILIMO HIKI. MAWASILIANO; 0744302645


YALIYOMOi. Hali ya hewa (Joto, mvua, Muinuko toka usawa wa bahari, Aina ya udongo unaofaa kwa kilimo cha zao) inayofaa kustawisha zao husika
ii. Aina mbalimbali za mbegu za zao husika, pamoja na gharama zake
iii. Kiasi cha Mbegu kinachotosha kwa eka 1
iv. Gharama zote za kuandaa shamba, kulima, kupanda, hadi kuvuna
v. Kazi za kufanya shambani tangu siku ya kwanza ya kupanda, hadi siku ya kuvuna (Nama ya kudhibiti wadudu, magonjwa, namna ya kupiga dawa (Aina za dawa za Wadudu +Magonjwa na vipimo vyake), kuweka mbolea (Aina za mbolea+Vipimo)
vi. Namna ya kudhibiti magonjwa na wadudu kupitia Picha (Picha ya mdudu/Ugonjwa, madhara yake kwa mmea, Udhibiti wake (Aina ya dawa za kutumia na vipimo vyake)
vii.Ushauri wa msimu mzuri wa kuzalisha zao husika
viii. Hesabu za mapato na matumizi

Kwa maelezo zaidi, tembelea website yetu : https://www.tcp-company.org
TEMBELEA FORUM YETU YA KILIMO, unaweza kujisajili na kuwa mwanachama kwa kuuliza maswali na kupost picha , na kuchangia mada mbalimbali https://www.tcp-company.org/forum/index.php



6: KILIMO CHA NYANYA: MDUDU HATARI WA NYANYA KANITANGAZE-TUTA ABSOLUTA

KAMA UNAHITAJI KITABU HIKI CHA KILIMO CHA NYANYA, Karibu sana BEI YAKE ni Tsh 15,000. KITABU KITATUMWA KWAKO KWA NJIA YA BASI/POSTA. KARIBU SANA

 

KAMA UNAHITAJI PDF YA KILIMO BORA CHA NYANYA YENYE MAELEZO YA KINA KUHUSU KILIMO HIKI ,TANGU NAMNA YA KUANDAA SHAMBA, KUSIA MBEGU, KUPANDA, HADI KUVUNA. MAELEZO YA WADUDU NA MAGONJWA YA NYANYA. MDUDU KANITANGAZE (Tuta Absoluta), JINSI ALIVYO, ANAVYOSHAMBULIA MAZAO, NAMNA YA KUMDHIBITI, NA NJIA SAHIHI YA UPIGAJI DAWA, KARIBU TUWASILIANE, kwa simu namba 0744302645, Email, kilimomaarifa.tajiri@gmail.com  

PDF ZA NYANYA, HOHO, TIKITI MAJI, BAMIA, KAROTI, TANGO, KABICHI, KITUNGUU MAJI, NA PILIPILI KALI ZIPO ZINAUZWA MOJA , NI TSH 15,000, UKINUNUA PDF MBILI NA KUENDELEA, KILA MOJA UTAUZIWA TSH 10,000. KARIBU TUWASILIANE, Simu: 0744302645


KARIBU TUWASILIANE, kwa simu namba 0744302645, Email, kilimomaarifa.tajiri@gmail.com

Ijumaa, 16 Februari 2018

5: HUDUMA ZITOLEWAZO NA WATAALAMU WA KILIMO MAARIFA. TAJIRI

 Tunatoa huduma zifuatazo kwa gharama nafuu sana


1. Mafunzo/Ushauri kwa wakulima kuhusu kilimo cha mazao mbalimbali. Mafunzo haya yanafanyika kwa vikundi, au Ushirika, au Taasisi mabalimbali (Za serikali au Binafsi). Gharama za kazi hii ni maelewano kutegemea na idadi ya siku za mafunzo na umbali mteja alipo kutoka mtaalamu alipo pia


2. Kuwawezesha wakulima, au makampuni au Estate (Mashamba makubwa) kufanya Certification za mazao mbalimbali. Tunauzoefu wa kuandaa wakulima pamoja na documentation za  kuwezesha upatikanaji wa vyeti vya ubora vya kimataifa kama vifuatavyo, UTZ, ORGANIC, FAIR-TRADE, RFA, C.A.F.E PRACTICES, 4C na GLOBAL GAP. FAIDA YA KUPATA VYETI HIVI VYA UBORA VYA KIMATAIFA, VITAKUSAIDIA KATIKA KUEXPORT NJE MAZAO YAKO, PAMOJA NA KUPATA MASOKO YA UHAKIKA, IKIWEMO NA KUPATA PREMIUM (UANAGENZI/ZIDIO LA BEI).



3. Kuandaa maelezo ya kina ya namna bora ya kuzalisha mazao mbalimbali, Kila PDF moja inauzwa Tsh 15,000. Ukinunua PDF tatu (3) Bei yake kila kimoja itakuwa Tsh 10,000. PDF zitatumwa kwako kwa njia ya WhatsApp au E-mail yako. 

Pia tuna vitabu (Hard Copies) ambavyo vinauzwa kila kimoja Tsh 15,000. Vitabu hivi vitatumwa kwako kwa njia ya Basi au PostaUkinunua PDF mbili au zaidi, Kila moja utauziwa kwa tsh 10,000

4. Tuna huduma ya Farmer Call Center
-Huduma hii hutumiwa na  mkulima yeyote mwenye shida ya kilimo/shambani kwake, mfano, amekuta shida ya wadudu, au magonjwa, au anahitaji dawa za kuthibiti shida mbalimbali shambani  au namna ya kulima zao fulani. 

-Basi utapiga simu kuja namba 0744302645 kueleza shida yako. Kisha kama ni tatizo linalotatulika basi mtaalamu wetu atakutumia ujumbe wa kukueleza kama shida yako inawezekana au lah. Ikiwa shida yako inawezekana kutatulika utalipia tsh 5000 kwa Mpesa, Tigo pesa, au Airtel Money. Kisha baada ya malipo utapiga simu tena kuja hiyo namba 0744302645, na utapewa maelekezo nini cha kufanya.

5. Tunaandika Proposal za miradi mbalimbali

6. Tunafanya research/Tafiti mbalimbali za kilimo

Kwa mawasiliano zaidi, karibu; Piga Simu namba 0744302645, E-mail:kilimomaarifa.tajiri@gmail.com

4: JE UNAHITAJI KUNUNUA VITABU VYA KILIMO VYA MAZAO MBALIMBALI-KARIBU


Karibuni sana mjipatie Vitabu (Hard Copies) na Softcopies (PDF) za mazao mbalimbali ya kilimo

Kwa sasa Vipo Vitabu na  PDF  (Maandishi) za mazao 10 kama ifuatavyo
1. Kilimo cha Nyanya
2. Kilimo cha Hoho
3. Kilimo cha Tikiti
4.Kilimo cha Kitunguu
5.Kilimo cha Tango
6.Kilimo cha Karoti
7.Kilimo cha Bamia
8.Kilimo cha Pilipili kali
9.kilimo cha Kabichi
10.Parachichi

Karibuni kwa watu wote manaopenda kupata vitabu (Hard Copies) hivi (Vime printiwa kwa rangi), Vitabu vinatumwa kwako kwa njia mbalimbali ikiwemo mabasi au Posta

Bei ya Kitabu (Hard Copy) kimoja ni Tsh 15,000. Bei hiyo inajumuisha na gharama ya Usafiri.

Tunawakaribisha sana wale wanaopenda kuwa mawakala wetu wa kuviuza vitabu hivyo mikoani. Unaweza kuwa una duka la pembejeo za kilimo au stationary, au ni mtu binafsi unayependa kuuza vitabu vyetu, karibu tuwasiliane.

Karibu tuwasiliane, Namba ya mawasiliano na  Malipo ni 0744302645 (M-PESA), E-mail kilimomaarifa.tajiri@gmail.com au tulime.pamojatz@gmail.com
Website yetuwww.tcp-company.org
Forum yetu ya kilimoTulime Pamoja Forum - Index/

PIA KWA WALE WANAOPENDA KUNUNUA SOFT COPIES (PDF ZA KUTUMWA KWA E-MAIL AU WhatsApp) pia zipo
i. Soft Copy (PDF) ya zao Moja, Bei yake ni Tsh 15,000, Ukinunua PDF za mazao MATATU (3)  na zaidi Bei inapungua kila PDF mmoja itakuwa Tsh 10,000.


YALIYOMO:

VITABU/ PDF zote zimeeleza kwa kina mambo yafuatayo

i. Hali ya hewa (Joto, mvua, Muinuko toka usawa wa bahari, Aina ya udongo unaofaa kwa kilimo cha zao) inayofaa kustawisha zao husika
ii. Aina mbalimbali za mbegu za zao husika, pamoja na gharama zake
iii. Kiasi cha Mbegu kinachotosha kwa eka 1
iv. Gharama zote (Kuandaa shamba, kitalu, kulima, kupanda, mbegu, madawa, mbolea, vibarua, kuvuna na kuuza) zimelezwa kwa kina
v. Uandaaji wa kitalu (Kutengeneza matuta, namna ya kutibu udongo wa kitalu kabla ya kusia mbegu, madawa ya kutumia kitaluni kutibu minyoo/wadudu n.k)
vi.Namna ya kuziandaa mbegu kabla ya kuzisia kitaluni ili zisishambuliwe kabla ya kuota
vii.Kazi za kufanya kitaluni, tangu siku uliyosia mbegu hadi siku unazihamisha shambani
viii.
viii. Namna ya kuhamisha miche kwenda shambani (Uandaaji wa shamba, nafasi, uwekaji mbolea n.k)
ix. Kazi za kufanya shambani tangu siku ya kwanza ulipohamisha miche shambani, hadi siku ya kuvuna (Nama ya kudhibiti wadudu, magonjwa, namna ya kupiga dawa (Aina za dawa za Wadudu +Magonjwa na vipimo vyake), kuweka mbolea (Aina za mbolea+Vipimo)
x. Namna yakudhibiti magonjwa na wadudu kupitia Picha (Picha ya mdudu/Ugonjwa, madhara yake kwa mmea, Udhibiti wake (Aina ya dawa za kutumia na vipimo vyake)
xi.Ushauri wa msimu mzuri wa kuzalisha zao husika
xii. Hesabu za mapato na matumizi

KARIBUNI SANA .
simu: 0744302645, E-mail, kilimomaarifa.tajiri@gmail.com Tufuatilie pia katika website yetu www.tcp-company.org na katika forum yetu ya kilimo Tulime Pamoja Forum - Index 

WOTE MNAKARIBISHWA

7. KILIMO CHA TIKITI MAJI (WATER MELON)-UTANGULIZI

KARIBU SANA, KAMA UNAPENDA UJIPATIE KITABU (HARD COPY) CHAKO CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI, KARIBU SANA BEI YAKE NI TSH 15,000 Hii hapa chini...