Hii hapa chini ni kurasa ya kwanza kati ya kurasa 24 za PDF-ya kilimo cha Tikiti maji
KWA MAELEZO ZAIDI KARIBU UJIPATIE NAKALA YAKO ILIYOKAMILI (KURASA 24) JUU YA KILIMO HIKI. MAWASILIANO; 0744302645
YALIYOMOi. Hali ya hewa (Joto, mvua, Muinuko toka usawa wa bahari,
Aina ya udongo unaofaa kwa kilimo cha zao) inayofaa kustawisha zao husika
ii. Aina mbalimbali za mbegu za zao husika, pamoja na
gharama zake
iii. Kiasi cha Mbegu kinachotosha kwa eka 1
iv. Gharama zote za kuandaa shamba, kulima, kupanda, hadi kuvuna
v. Kazi za kufanya shambani tangu siku ya kwanza ya kupanda, hadi siku ya kuvuna (Nama ya kudhibiti wadudu,
magonjwa, namna ya kupiga dawa (Aina za dawa za Wadudu +Magonjwa na vipimo vyake),
kuweka mbolea (Aina za mbolea+Vipimo)
vi. Namna ya kudhibiti magonjwa na wadudu kupitia Picha (Picha
ya mdudu/Ugonjwa, madhara yake kwa mmea, Udhibiti wake (Aina ya dawa za kutumia
na vipimo vyake)
vii.Ushauri wa msimu mzuri wa kuzalisha zao husika
viii. Hesabu za mapato na matumizi
Kwa maelezo zaidi, tembelea website yetu : https://www.tcp-company.org
TEMBELEA FORUM YETU YA KILIMO, unaweza kujisajili na kuwa mwanachama kwa kuuliza maswali na kupost picha , na kuchangia mada mbalimbali https://www.tcp-company.org/forum/index.php
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni