Kilimomaarifa.tajiri ni blog ambayo imeanzishwa na wataalamu wa kilimo wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 7.. Lengo kuu la Blog ni kutoa elimu kwa watu wote wanaopenda kulima au kujifunza mbinu mbalimbali za kilimo. Kazi yetu kubwa ni Kutoa elimu ya ana kwa ana kwa mkulima mmoja mmoja au vikundi au taasisi za kilimo. Kwa maelezo zaidi Tembelea website yetu : https://www.tcp-company.org/ na Forum yetu ya kilimo : https://www.tcp-company.org/forum/index.php
Jumapili, 18 Oktoba 2015
3: KILIMO CHA PARACHICHI (AVOCADO)
Kwa maswali, au ushauri wa kilimo au kama unahitaji kununua PDF (Soft Copy) /KITABU (Hard Copy) cha zao hili la Parachichi (Avocado)
karibu tuwasiliane, Simu: 0744302645. BEI YA PDF/KITABU KIMOJA ni Tsh 15,000
=================================
Leo tutajifunza Faida na Agronomy ya matunda yaitwayo Parachichi (Avocado)
ZAO LA PARACHICHI (AVOCADO)
Tunda hili lina faida nyingi sana, mbali ya kutumika kama zao la kiuchumi lakini pia hutumika kuimarisha afya ya mwili
KWA KIFUPI TU
1. Faida za Parachichi upande wa Lishe
-Tunda lina vitamini zifuatazo
1. Lina Vitamini
2. Lina Vitamini
3. Lina Vitamini
4. Lina vitamini
5. Lina vitamini
6. Lina vitamini
Madini- (Mineral Elements)
Ni tunda lenye
1. Madini ya
2. Madini ya
3. Lina virutubisho vingine vidogo vidogo vingi, vinavyotakiwa katika ufanyaji kazi mzuri wa selli hai za mwili
2. Agronomy ya Parachichi
Hali ya hewa
-Ni tunda linalopenda sana sehemu za baridi, maeneo kama ya
Joto
Nyuzi
Muinuko
Mita
Udongo
-Uwe
Aina za Parachichi
1. Zipo aina za
2. Zipo aina za
-Hii ni aina maarufu sana katika aina za parachichi
ii. Aina ya pili ni
-Aina hii ikilimwa sehemu za miinuko na baridi sana, inafaa sana kutoa
iii. Aina ya tatu maarufu hapa tanzania -inaitwa X-ikulu
SIA ZAKE-Ana hii ni maarufu sana kwa mikoa ya
-Mti wa aina hii huwa na
-Mti huu huchukua
-Tunda lake huwa ni
UPandaji wa Parachichi
Nafasi kati ya shimo na shimo
-Umbali wa kutoka shimo hadi shimo ni MITA.....
-UMbali wa kutoka mstari hadi mstari ni MITA .....
Lakini kipimo hicho hapo juu kitategemea sana na aina ya udongo wa shamba lako , kwa udongo wenye Phosphorus kwa wingi (P), kipimo hicho ......... maana baada ya mika .....................
-Hivyo nafasi ya kupanda parachichi (Mstari kwa mstari, Mche hadi mche0
i.......
ii......AU
iii.
Ukubwa wa shimo (Vipimo)-Shimo laweza kuwa )
-Au kipimo cha futi ,................
Mbolea
-Mbolea za kupandia zitakazohitajika , ni moja wapo kati ya hizi
-...........,.................., ..................,/..............
Kipimo cha mbolea,
-Kama ni mbolea za
-Kama utapandia mbolea za viwandani, basi.............
KUKOMAA NA KUTOA MAVUNO
-Parachichi hasa hizi za kisasa, hukomaa baada ya miezi ........
MAVUNO
-Kwa mara ya kwanza mti mmoja wa parachichi unaweza kukupa kati ya matunda ............
-Mavuno hueongezeka kadri umri unavyoongezeka
-Mti wa parachichi ukifikia umri wa miaka..... &...
FAIDA
kwa kipimo cha mita 10 x mita 10, katika eka mmoja utakuwa na Miche.........
-Kila mti baada ya mika 5
-Hivyo kwa miti
-Kila tunda kwa bei ya shambani
-Hivyo utapata jumla ya tsh .....
Magonjwa ya parachichi
Parcahichi kama mimea mingine inashambuliwa sana hasa upande wa majani pamoja na matunda1. Yapo magonjwa ya majani, yanayosababishwa na .....Jani lililoshambuliwa na ........
Mite-Utitiri mweupe Avocado lililoshambuliwa na ..............
2.Magonjwa ya matunda
Yasababishwayo na fangasi/Ukungu, -Tatizo la Athracnose husababishwa na ................
-Tatizo la Scab, husababishwa na
Thrips wa avocado Matunda yaliyoathiriwa na...........
DAWA
-Dawa za kutibu wadudu kama
-Dawa za Ukungu kama
-Lishe ya mmea
Mbolea za kukuzia kama
-Booster=Mbolea za majani, maua na matunda kama vile
Hitimisho
Parachichi-
Alhamisi, 24 Septemba 2015
2: KILIMO CHA NYANYA
BAADHI YA MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUFAHAMU KUHUSU KILIMO CHA NYANYA;
Kwa mawasiliano ili kujipatia PDF yako yenye maelezo ya kina kuhusu kilimo cha nyanya piga simu namba 0744302645. Bei ya PDF ya zao moja ni tsh 15,000.
=======================
Kwa mawasiliano ili kujipatia PDF yako yenye maelezo ya kina kuhusu kilimo cha nyanya piga simu namba 0744302645. Bei ya PDF ya zao moja ni tsh 15,000.
=======================
Changamoto kubwa inayowakabili wakulima wa nyanya kwa sasa nchini Tanzania.
-Kwa sasa kuna mdudu anaitwa Tuta Absoluta.. au waswahili wanaimuita Kanitangaze (MAANA AKIKUVAMIA SHAMBANI HAKUNA NAMNA UTAACHA KWENDA KUMSIMULIA) Anakausha matunda, na kuyaozesha pamoja na kusababisha afya ya mmea kudhoofika.
CHANGAMOTO KUBWA WASIYOIJUA WAKULIMA NI KUWA DAWA ZA KUZUIA MDUDU HUYU INABIDI ZIPIGWE KUANZIA MCHE UNAPOKUWA KATIKA KITALU..
WENGI WA WAKULIMA HUKIMBIZANA KUTIBU MDUDU HUYU WANAPOONA MATUNDA YAMEVAMIA (YAMEOZA, AU YAKO NA MAKOVU KATIKA KISHIKIO Calyxn)
LAKINI DAWA DHIDI YA MDUDU HUYO ZIPO KWA SASA
Dawa zilizopo madukani na zitumikazo kumdhuru Tuta Absoluta (Kanitangaze)
1.
2. Nimbecidin-
3. .....
4. ........
AGRONOMY YA NYANYA
Aina za nyanya ziko nyingi
1.Fupi kiasi (Semi-Determinent),
Mifano za nyanya ambazo ni fupi kiasi
2. Ndefu (Indeterminent)-AINA HIZI NDEFU HUWEZA KUVUNWA MFULULIZO KWA MIEZI
Mifano ya nyanya aina ndefu ni
3. AINA ZA OPV-OPEN POLLINATED VARIETIES
AGRONOMY YA NYANYA
i. MAZINGIRA
Joto la kadri 20-35 degree sentgrade
ii.UDONGO
Nyanya zinastawi kwenye udongo wa namna gani, na PH ya ngapi?
ii.UDONGO
Nyanya zinastawi kwenye udongo wa namna gani, na PH ya ngapi?
iii. NAFASI YA KUPANDA
-Umbali wa tuta hadi tuta,
iv. MBEGU
v. UPANDAJI
-Muda wa mbegu kuota
vi; KAZI ZA KUFANYA SHAMBANI
-Baada ya kupandikiza
-Wakati wa maua ni Muhimu kufanya nini?
-Matunda yakijitengeneza ufanye nini?
vii. Wadudu
Wadudu wasumbufu wa nyanya, ni
1.funza wa matunda, wanaokata miche michanga,
2.Wadudu wanao kwaruza (scratch) majani.
3.Leaf miner (Wachora ramani katika majani)
4.......
5.......
4.......
5.......
viii. Magonjwa
1. Kinyaushi cha kwanza
2.Kinyaushi cha mwisho
3.Magonjwa ya bakteria
4. Magonjwa ya ukungu(Unga mweupe katika matunda),
5. Baka jani
6......
7........
-Nini cha kufanya kudhibiti wadudu na magonjwa?
6......
7........
-Nini cha kufanya kudhibiti wadudu na magonjwa?
viii. Muda wa kukomaa matunda ufanye nini??
-
Mavuno
Eka moja inaweza kutoa cret ....
Soko/Bei
-Nyanya yenye bei znuri ni ile ya inayoingia sokoni kuanzia mwezi wa
Gharama za kuhudumu shamba la Nyanya kwa eka 1 ni tsh?
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Jumanne, 22 Septemba 2015
1: KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KILIMO HAPA NCHINI.
Kwa leo ntajikita kueleza kwa lugha rahisi, KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KILIMO HAPA NCHINI.
1.UKOSEFU WA MAARIFA SAHIHI
-Ni vizuri ikafahamika kuwa kilimo ni utaalamu kabisa (Sayansi) kama ilivyo udaktari au uhandisi au fani yoyote ile inayohitaji maarifa.Ndio maana mimea usipojua mahitaji yake kwa wakati sahihi, baadhi itakufa, au itakuletea mavuno hafifu, n,k
Hivyo kabla ya kwenda shambani na kuwekeza muda wako na pesa zako, ni muhimu sana KWANZA ukajifunza kupata maarifa sahihi ya kitu gani unataka kuzalisha, mbegu gani utatumia, madawa (WADUDU &UKUNGU), mbolea, wadudu gani waharibfu utakabiliana nao vipi, utahifadhi vipi mazao yako baada ya kuvuna na mambo mengine mengi.
BILA KUFANYA HIVYO UTAPATA HASARA TU, kwa sababu sasa hivi kilimo ni soko huria, hivyo utakutana na pembejeo feki nyingi sana za kilimo humo madukani, wauzaji na wasambazaji BAADHI SI WAAMINIFU (ANZIA MBEGU, MADAWA, MBOLEA).
Utapanda mbegu feki hazitaota, utatumia madawa feki yata kuunguzia mimea yako, na wakati mwingine utauziwa madawa hata iaina 5 yanayofanya kazi mmoja ya kuua wadudu (hivyo kupoteza fedha zako). Ukisosa maarifa sahihi utakuwa mtu wa kutanga tanga tu, kwa mfano wakati wa kuweka mbolea ya kukuzia wewe unaweka mbolea ya kupandia, wakati yan kuweka dawa za kukinga mimea yako na ukungu wewe unaweka dawa za kuua wadudu, aina fulani ya dawa hazifai kuua magugu ukiwa umeshapanda mimea wewe utatumia tu kiua gugu chochote herbicides bila kujua ipi inafaa wakati gani, hivyo utapoteza pesa zako nyingi kwa kutanga tanga na kutokujua ufanye nini kwa wakati sahihi
-Jambo lingine sambamba na maarifa, ni kuwa UNAPASWA KUANZIA SOKONI KWANZA KABLA YA KUZALISHA ZAO LOLOTE LILE, LENGO NI UJUE
i). NI ZAO GANI LINAKUWA ADIMU/LINAPENDWA SOKONI (WALAJI) WAKATI GANI LINAKUWEPO SOKONI KWA WINGI AU LINAKUWA NA MAHITAJI MAKUBWA-
Lengo la kutambua hili ni Ili sasa ukajipange kuzalisha kuendana na mahitaji ya soko, ili huo wakati uatao vuna na kupeleka sokoni ukutane na bei nzuri kwa maana ya demand and supply-kama mzigo upo kidogo sokoni na mahitaji ni makubwa automatically bei itakuwa juu na hivyo kuwa faida kwako wewe mzalishaji.
Mfano kwa uzoefu wangu- nafahamu mazao mengi sana huwa adimu sokoni kuanzia miezi ya disemba hadi April maana mvua huwa nyingi nyakati hizo hivyo wengi huogopa kuzalisha wakati huo kuhofia mafuriko, wadudu na magonjwa ya ukungu ni mengi sana, na hapo ndio bei za vyakula huwa juu, hivyo ukiweza kutime nyakati hizo lazima utapata faida
ii). NI MUHIMU PIA KUTAFITI, ni aina ipi ya hilo zao linapendwa sana na walaji, mfano je walaji wanapenda nyanya size nene sana, au saizi ya kati au ndogondogo, au mfano katika matikiti je wanapenda ya rangi zenye michirizi maarufu kama zebra, au ya kawada, je katika Karoti wanapenda karoti fupi nene, au nyembamba ndefu, au mfano katika kabichi walaji/soko wanapenda za iana gani zenye ngozi ngumu na umbo kubwa (kilo 4-7 etc) au saizi ndogo? etc.
2. UKOSEFU WA MAANDALIZI SAHIHI (MTAJI)
Wakulima wengi wanashindwa kufanikiwa kwa kuwa hawakujipanga, kuanisha mahitaji mahususi yanayotakiwa katika kilimo husika, hawakujipanga vizuri kukabiliana na changamoto mbalimbali, Mfano- (Mkulima hakupiga mahesabu sahihi ya mahitaji ya shamba lake tangu kuandaa shamba, kupanda, mbegu madawa, mbolea, palizi, mavuno, hadi kufikisha sokoni) anapoanza kilimo akikutana na changamoto mfano za mbolea za kupandia, kukuzia, au za maua na matunda (booster), pesa inakata naye anakata tamaa anaamua kuzalisha tu ili mradi au kutelekeza mashamba, hivyo ni muhimu sana , kujipanga kabla ya kuanza shughuli yoyote, ambayo utajitoa muda wako na pesa yako.
Wasalaamu.
mawasiliano. kilimomaarifa.tajiri@gmail.com
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxx
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
7. KILIMO CHA TIKITI MAJI (WATER MELON)-UTANGULIZI
KARIBU SANA, KAMA UNAPENDA UJIPATIE KITABU (HARD COPY) CHAKO CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI, KARIBU SANA BEI YAKE NI TSH 15,000 Hii hapa chini...
-
Kwa maswali, au ushauri wa kilimo au kama unahitaji kununua PDF (Soft Copy) /KITABU (Hard Copy) cha zao hili la Parachichi (Avocado) k...
-
BAADHI YA MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUFAHAMU KUHUSU KILIMO CHA NYANYA; Kwa mawasiliano ili kujipatia PDF yako yenye maelezo ya kina ...
-
KARIBU SANA, KAMA UNAPENDA UJIPATIE KITABU (HARD COPY) CHAKO CHA KILIMO CHA TIKITI MAJI, KARIBU SANA BEI YAKE NI TSH 15,000 Hii hapa chini...